Search results
Results from the WOW.Com Content Network
Jaji Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisisitiza jambo alipokuwa anafungua Mkutano wa Nusu Mwaka wa Mahakama ya Rufani Tanzania 2024 leo tarehe 10 Octoba, 2024 jijini Arusha.
Tovuti imesanifiwa na kutengenezwa na Mamlaka Ya Serikali Mtandao Huendeshwa na JSC
Login Tip :: Never share your password & Do not respond to any mail which asks for your login-ID/Password For any Technical inquiry, Please contact your ICT Support Team at : @troppustci jsc.go.tz
Judicial Service Commission | Tume ya Utumishi wa Mahakama.
Vile vile Tume inamshauri Rais kuhusu maslahi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania. Vile vile, kusimamia nidhamu na maadili ya Maafisa Mahakama ni moja ya jukumu la msingi la Tume ya Utumishi wa Mahakama.
Tovuti imesanifiwa na kutengenezwa na Mamlaka Ya Serikali Mtandao Huendeshwa na JSC
Tume ya Utumishi wa Mahakama imeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 112 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na Sheria ya Uendashaji wa Mahakama Na. 4 ya mwaka 2011. Wajumbe wa Tume ni pamoja na: Jaji Mkuu ambaye ni Mwenyekiti. Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Mamlaka ya Tume ya Utumishi wa Mahakama kama chombo cha kusimamia ajira na nidhamu za watumishi wa Mahakama yanatokana na Ibara 113 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Toleo la mwaka 1977 ikisomwa pamoja na Kifungu Na. 29 (1) cha Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4 ya mwaka 2011 nayo ni kama ifuatavyo: (a)Kumshauri Mhe.
13.1 Tovuti ya Tume ya Utumishi wa Mahakama – www.jsc.go.tz 13.2 Simu ya maulizo (inafanya kazi saa 24): 0734219821. 13.3 Barua pepe ya maulizo; maulizo.ajira@jsc.go.tz 14.0 MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI YA KAZI NI SIKU YA ALHAMISI TAREHE 09 JUNI, 2022 SAA SITA USIKU (Mfumo wa kupokea utajifunga wenyewe). Imetolewa na ;- Prof. Elisante Ole Gabriel
Hakuna Taarifa kwa sasa. Judicial Service Commission | Tume ya Utumishi wa Mahakama.